Hiki kipindi cha Sports Arena kinaboa

alafu hii style yao ya kiboya ya kujiita kiungo mkata sijui nini!...beki, namba 9 sijui nini! nani kawaambia ndiyo swaga!? waache uduwanzi hawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond pale wasaf yeye ndie anae panga watu gani anawaitaji wote wale unao waona diamond ndio kawasajili ndiomana wasaf WENGI mle mwanzo walikua mameneja wa wasanii na marafiki mle wasaf hamna ubunifu Ila ni kucopy na kupest
sikujua,najua yeye ni shareholder tu.wanameneji watu wengine wataalamu wa marketing. una hakika? isije kuwa ndo umekariri kwa kutokujua kwako unashindwa kutofautisha mwana hisa na menejiment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa nimehama naye toka Magic FM, nikijua hayupo sina muda.

Huyu hata akiielezea Kivumbi Cup anaielezea mpaka unaielewa.
Jamaa anajua mpira...Anajua lugha za mpira na anaupenda mpira...anahisia pia na mpira wenyewe jamaa asipokuwepo Mara nyingi kipindi kinaboa...Kudos kwake Ambangile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…