GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani kukitokea Jambo fulani baya (hasa la Kiserikali) na (Kiutawala) kwa nchi ya Tanzania utaona wanaokuja Kulijibia (kulitolea Ufafanuzi) watajibu huku wakililinganisha (weka Reference) na nchi nyingine kuwa na Wao Kwao limetokea ili tu Kulizima na kulifanya lionekane la Kawaida hivyo lisijadiliwe kwa sana.
Mfano kuna Timu Moja nchini Tanzania (GENTAMYCINE nimeisahau) juzi tu Wamefurumushwa Klabu Bingwa Afrika na badala ya Kukubali kuwa hawana Uwezo Watu wao walichokijibu ni kwamba mbona hata Klabu Kubwa, Bingwa na Tajiri ya Congo DR TP Mazembe FC nao wametolewa na Vipers FC ya Uganda?