Mimi sio shabiki wa Simba na Yanga.
Nimefungua hii post kumbe ni mambo ya kiboya nikajua ni habari mhimu.
Watanzania wengi sasa wameathirika na mambo ya Simba, Yanga, CCM na CHADEMA.
Watu siku nzima wanabishana mambo ya Yanga na Simba wengine hadi uwezo wa kufikiri umepungua.