sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Miaka kumi iliyopita,nikiwa jijin Dar kwa makonda henzi hizo yy nadhani alikuwa bado yupo koromje.
Ilikuwa siku ya jumamosi,nilifika pale kijitonyama enzi hizo kulikuwa na bar moja iliitwa Breakpoint.
Nikiwa pale na washikaji zangu ilikuwa mida ya saa mbili asubuh,enzi hizo Break Point ilikuw bar kubwa sanaa. Tukiwa tunakula zetu mtori mtam alifika Nape na wenzake wakaagiza Mtor kama sisi.
Baada ya kunywa mtor bahat mbaya Nape kama mnavo jua watu wenye vibur vya madaraka hata ulaji wao huwa ni wa kimajivuno.
Wakat Nape akiwa anakula alijidodonsshea mtori kweny shat yake nyeupe.
Ilibidi amuite muudumu ili amletee Tishu ajifte haraka,yule mhudum alipofika Nape akamwambia amletee tishu haraka.
Yule mhudum ikabidi achukue na oda za wateja wengine nikiwemo mimi sasa nikimwagiza bia enzi hizo nilikuwa nakunywa SAFAR LAGA.pumzika Safari Laga.nakumis ila ndo hivyo sikunywi tena.
Yule dada alimletea Nape Tishu ndani ya dakika tano au kumi hivi Nape alikasirika sana na kuamua kumzaba kibao yule Mhudumu.
Kwa wale wakongwe wa Dar pengine tukimuondoa mkuu wenu wa mkoa,nadhani mtakuwa mnaikumnuka hiyo hiyo Bar ilikuwa Bar yenye wahudumu walio jielewa sana na ulikuwa unashangaa kuona mhdum wa bar alikuwa anapaki gar pembeni gar ya maana na anaingia kazini.
Sasa Nape siku hiyo aliingia kweny anga za mhudum aliejitambua hakkujar cheo wala nn alimkunja Nape ndipo vijana ambao wanaitwa usalama wa taifa wakaingilia kati.
Nakumbuka wale vijana walimkwida yule mhudum na mm sikuangalia ni nani wala nini niliingilia kati na kuwataka wamwache atwangane na Nape ili wapeane heshima.
Enzi hizo bwana mkubwa alikuwa katibu mwenezi wa chama chao cha mapinduzi
Kusema kweli ni mapenzi ya Mungu nilimchukia Nape mpaka leo stakagi hata kumuona.
Ipo siku ntaelezea jinsi ambavyo nilitaka kumpiga makonda kwenzi ila usalama akanizuia,hiv wew msomaji wangu wajua hapa Tanzania kuna wakati usalama wa taifa walijua kuwa kazi yao ni kuwalinda wanaccm tu hasa viongozi