Hiki kisa kilinifanya nimchukie Nape na nilikuwa tayari kuwapiga ngumi Usalama wa Taifa

Hizo hadithi za zamani kwamba Usalama wa Taifa anajua hata unafikiria nini ndo zimewehusha watu. Lkn ukionana nao zaidi ya Mara tatu utajua ni wa kawaida tu tena wale intake ya JK ndo kabisaaa bora wale wa vipaji enzi za nyuma. Hii intake ya uvccm ya awamu hii nayo naona ni ya makundi tu
 
je na wewe ni usalama?
 


Ogopa sana mtu ambae amefundishwa kupigana halafu ana akili

Nimewahishuhudia mjeda ambae kumkamata inabidi liende gari full la Askari tena wenye bunduki, mnaweza enda kundi anawapiga wote
 
Ogopa sana mtu ambae amefundishwa kupigana halafu ana akili

Nimewahishuhudia mjeda ambae kumkamata inabidi liende gari full la Askari tena wenye bunduki, mnaweza enda kundi anawapiga wote
sasa nakwambiaje mtaani kuna watu wanapiga ngumi,shule wamewazidi hata baadhi ya hao wajeda..tena wanajua michezo ya hatari
 

Mkuu unaweza eleza kidogo mzee Safari Lager alikufanyia nini mpaka sasa haumywi tena? Cause he also used to be my friend
 
Wewe ulishamchapa mhudumu kibao ? Kuna vitu sio vidogo kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] too low too low
 
Team ya kina Nappe imejaa watu fedhuri sanaaa Nappe ni majivuno. Kuna majangili humo, Kuna kina rostam madili Kuna Membe wakujitengenezea fursa ila tutafanyaje tunatafuta unafuu
 
Tuongeze volume au inatosha ?

Ila chai yako haijaiva vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…