Hii ni chai sema haina sukari mtoa anatuambia eti mabaamedi kila mmoja anagari uongo mtupuHata akitumbuliwa mwingine mtaleta simulizi zake
Haya leteni za januari sasa
Ila huyo barmaid alistahili hilo kofi, na kichwa juu
Halafu mleta mada ungekuja kujichanganya kwangu kujifanya unanunua ugomvi, ningekudhalilisha, hiyo bar usingekanyaga maisha yako
Hii ni chai sema haina sukari mtoa anatuambia eti mabaamedi kila mmoja anagari uongo mtupu
Hiyo itakuwa ni maliasili ila siyo bar za Tanganyika hii wahudumu wanategemea pumbu kuishiKuna baadhi ya bar wahudumu wanalipwa vizuri, na ukiplus na tips, basi anakuwa na kipato kama afisa tu.
Wewe si unaenda bar za bia buku jero. Kuna sehemu hiyo bia unayonunua buku jero inauzwa buku sita. Na mtu anaondoka na tip zaidi ya elfu 20.Hiyo itakuwa ni maliasili ila siyo bar za Tanganyika hii wahudumu wanategemea pumbu kuishi
Kuna wahudumu wanaondoka na tip elfu 60Wewe si unaenda bar za bia buku jero. Kuna sehemu hiyo bia unayonunua buku jero inauzwa buku sita. Na mtu anaondoka na tip zaidi ya elfu 20.
Wewe salary yako unayoiamkia saa kumi na moja alfajiri na kurudi nyumbani saa kumi na mbili jioni unakuta ni kama elfu 30 kwa siku.
Sio kweliHiyo itakuwa ni maliasili ila siyo bar za Tanganyika hii wahudumu wanategemea pumbu kuishi
Sana ,na anapenda kuogopwaMtu ambae hamjui Nape atamtetea sana ila ni mjivuni hakuna mfano na madharau mengi sana
Mtu ambae hamjui Nape atamtetea sana ila ni mjivuni hakuna mfano na madharau mengi sana
Ipo siku ntaelezea jinsi ambavyo nilitaka kumpiga makonda kwenzi ila usalama akanizuia,hiv wew msomaji wangu wajua hapa Tanzania kuna wakati usalama wa taifa walijua kuwa kazi yao ni kuwalinda wanaccm tu hasa viongozi
πππππππππππππππππππHadithi yako imeharibiwa na uongo wa ma barmaid kuwa na magari
Anatumia ID ipi ambayo ni active?Nape anatukana kila mtu akiwa kwenye cheo.. Kuna siku alishinda hapa Jf anatutukana ilikua Jumapili..naikumbuka Sana ile siku