Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

kweli boss mimi ni shaidi no moja mimi namshangaa martina sema ni vile alifanya na mtu wa karibu ndo maana inamtesa

mueleweshe Gaijinh
hajui kuwa haya mambo ni too common these days...
 
mhh haya nayo yapo hivyo nimapokeo
 


You are a lesbo...you just didn't knew! Now that you know...either pretend you are not and be unhappy..or tii kiu yako!
 


aah

kumbe kumbe OLE MANIANIA aliacha kuimba kwaya eeh? na yule binti mzuri msomi wa kimasai ulimshinda? au ndo ulitimiza ile azma ya kumwangamiza kabisa ? na sasa ndo u dada poa unakukaribia . mmh Martina! Martina!
 
tunaishi na wanamme ndani ya nyumba zetu wakiwa kaka au binamu lakini hatuwatamani na wala hawatustui.

Nyumbani tulala kitanda kimoja ndugu na wakti mwingine wala hatukumbuki kulala mzungu wa nne na wala hamna anayehisi chochote

Partly nakubaliana na kwamba inaanza kichwani ila kwenye shule za boarding ipo sana tena sio single sex peke yake hata shule mchanganyiko ipo
ila watu wengi huacha/hupunguza wanapoondoka mashuleni
 
kweli boss mimi ni shaidi no moja mimi namshangaa martina sema ni vile alifanya na mtu wa karibu ndo maana inamtesa

duh!!! kumbe mimi si wa ajabu sana???
 
You are a lesbo...you just didn't knew! Now that you know...either pretend you are not and be unhappy..or tii kiu yako!
ahaaa dokta ni ngumu kuacha ila hataki na anajuta.sasa ushauri gani huo unampa?
 
Siyo wewe uliyesema boyfriend wako ni jambazi mwenye mshiko?Ukawa unataka ushauri?
Nisamehe kama nimekosea.

ile ilimtokea rafiki yake wa karibu siyo yeye.
ila yeye( martyna) zamani baba yake alikuwa mchaga mana yake alikuwa mngoni, na alikuwa anaishi Geneva of africa
siku hizi yeye(martyna) baba yake amekuwa mngoni na mama yake amekuwa mchaga
 
Long sana, ila hapakuwa na pa kusemea.
Ilkuwa kama siri ya shuleni huko huko hakuna anayeileta mtaani
sio this days the boss wangu,tokea zamani ipo saaana kwenye mabweni ya wasichana
 
ahaaa dokta ni ngumu kuacha ila hataki na anajuta.sasa ushauri gani huo unampa?

Smile ushauri ndio huo...kuna malesbo na magay wengi tu wanaishi maisha yao yote wakishindana na hisia zao za kimwili kwa sababu wanaangalia jamii inayowazunguka in maadili gani na itawachukuliaje. sasa Marytina aamue kuishi kinafiki na kudeny hisia zake..au atii hisia zake!
 
my dear, na hii niliiona boarding kwa sana, na mabifu ya kunyang'anyana kabisa watu wanagombea basha! lakini trust me, huwa wana-pretend kama alivyosema riwa hapo juu. kuna mmoja tulikuwa same class, alikuja kuolewa marekani, after a year wameachana. we ar still friends, u cant tell kama ana kitabia hicho na hamuongelei mumewe hata siku moja. recently ameanza kuhang na mdada waliekuwa wanasagana tukiwa o-level, na huyo mdada ni single mother. tuna urafiki wa kistaarabu we never pry on each other's business, lakini for them going camping together ni kawaida. nikipata invitation i politely decline, maisha yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…