Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Ameen Deskmate. Mbona hujaonekana shule? au ni mafuriko yamekuziwia?


Nakusalim pia Sweet (o so sweet) Lady. hahahaha
Nashukuru kwa salamu, afu deskmate hajafika shule coz alikuwa kwenye maombi spesho...muombee ruhusa kwa mwalimu wa darasa manake hatafika wiki nzima, sawa eeh?
 
Marytina kaenda wapi? hajajibu swali langu!!!
 
Nimeona love, yaani haka kaujauzito tulivokesha kukatengeneza kangeharibika ingekuwa ni pigo kitaifa kama sio kimataifa....lol

Ni pigo la kimataifa bana! hapo ni sawa na kuchanganya mbegu za newton na maza teresa.
 
Nashukuru kwa salamu, afu deskmate hajafika shule coz alikuwa kwenye maombi spesho...muombee ruhusa kwa mwalimu wa darasa manake hatafika wiki nzima, sawa eeh?
Wiki nzima???? hiyo ni shida sasa maana natumia pensili yake darasani... sasa itakuaje? Nitammiss kweli. Ngoja niulize ulize basi nione nani mngine atanipa...
Nitamfikishia Mwalimu ujumbe, mwambie deskmate aniombee na mimi nipate penseli yangu rasmi.
 
Marytina mie siku hizi nakufananisha sana na Nazjaz.( utanisamehe bt huo ndio ukweli halisi ) manake ukipotea ukirudi una story za ajabu, ajabu. Hazina tofauti na za Nazjaz.
hujambo sweetie? Nakumisssooooo!
 
Siyo wewe uliyesema boyfriend wako ni jambazi mwenye mshiko?Ukawa unataka ushauri?
Nisamehe kama nimekosea.


hivi amekanusha hili?

halafu anafikiri kwa kusema hapa eti litamtoka kichwani!!! huu ujinga wa hali ya juu kweli kweli
 
Wiki nzima???? hiyo ni shida sasa maana natumia pensili yake darasani... sasa itakuaje? Nitammiss kweli. Ngoja niulize ulize basi nione nani mngine atanipa...
Nitamfikishia Mwalimu ujumbe, mwambie deskmate aniombee na mimi nipate penseli yangu rasmi.

Hamna penseli rasmi, utashea hii hii
 
mmmhhh???
Wacha ku-generalize bwana! too common maana yake nini?
Pole Marityna...

asante shosti
kwa kikisema najisikia nafuu sana nadhani usiku wa leo ntalala poa
 
Marytina, labda nikuulize kidogo maana nashindwa kuamini kua hukujua kitakacho tokea:
Mlipoingia kitandani kulala, ulikua umevaa? maana inaonekana alifikia chuchu laki kiurahisi tu...

natoka kidogo ntakueleza step by step nini kilianza kabla sijapoteza kumbukumbu kwa raha
 
usizunguke zunguke hapa. inamaana ungekuwa na shemeji yako wa kiume akasema tu imitate, ungeingia hiyo imitation?. halafu huoni aibu kusema aliyeanza ni nani. inanikumbusha kitabu cha mwanzo, wakati wa anguko la mwanadamu- eti yeye ndiye alianza

kusingizia wengine ndo kazoea huyu....inaonyesha hata kabla ya kuja huyo wifi yake huyu alikuwa na huu mchezo.....maaana from n where ni ngumu sana kuianza gafla na kwa kuambiwa kirahisi hivyo..........ni ujuha wa hali ya juu sana na hapa anadhani kwa kuliweka hadhara anatapa ahueni moyoni....upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…