mtoa mada ni wakati sasa wa kumcompliment mkeo na masifa kedekede,unauchunaga sana au unamcritisize sana ,that made her felt unwanted,not sexy......sasa mwambia 'darling una wowowo zuri nataka unichezee peke yangu ndani sio watu wote waone' kama ana akili atakuwa kapata ujumbe:sleepy:
Unaenda club na mpenz wako{wa kike},unakuta kuna bendi ya flani ya mziki inatumbuiza,halafu cha kushangaza huyo mpenzi wako anaenda kumtuza msanii pesa na anamkatikia mauno utadhani anamjua..baadae ukimuuliza ilikuaje amkatikie mauno vile yule msanii,anakujibu eti alipitiwa tu.hivi hii ni halali waungwana?
Two wrongs don't make a right.na wewe ungekamatia mcheza shoo wa kike aliyejaaliwa kuliko wote hapo ukafanya mara mbili yake ili aine how it feels..
yaani mziki tu ndio ukuweke roho juu???:redface: