punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
ni kumuelewesha tu kua hupendi afanye ivo tena mana yy ni msichana wako na sio msichana wenu nyote na hao wapiga bendi.na pia mueleze jinsi isivokua heshima yeye kufanya ivo ili hali mko naye na hata kama akiwa peke yake sio vizuri kw amtoto wakike kufanya ivo.asipokuelewa na kurudia tena hapo sasa ndio ujue kunguru hafugikiUnaenda club na mpenz wako{wa kike},unakuta kuna bendi ya flani ya mziki inatumbuiza,halafu cha kushangaza huyo mpenzi wako anaenda kumtuza msanii pesa na anamkatikia mauno utadhani anamjua..baadae ukimuuliza ilikuaje amkatikie mauno vile yule msanii,anakujibu eti alipitiwa tu.hivi hii ni halali waungwana?
mkuu,yani ndio amkatikie mauno mpaka chini?
Subiri arudie tena next time, ndipo utakuwa kwenye position ya kulalamika. Umemuambia hupendi ameomba msamaha l presume so let it go!
"two wrongs makes it even"..thats what they say.Two wrongs don't make a right.
Kwa vile alisema alipitiwa yaishe
but kaa ukijua ana tabia hiyo...
Jamani nyie si mmeenda sehemu ya starehe
Inawezekana mzuka umepanda amekunwa na muziki , na bado yuko na wewe unahis wivu
pole
Unaenda club na mpenz wako{wa kike},unakuta kuna bendi ya flani ya mziki inatumbuiza,halafu cha kushangaza huyo mpenzi wako anaenda kumtuza msanii pesa na anamkatikia mauno utadhani anamjua..baadae ukimuuliza ilikuaje amkatikie mauno vile yule msanii,anakujibu eti alipitiwa tu.hivi hii ni halali waungwana?
Mkuu ungesema ulimpatia msikitini au Kanisani halafu ndo anafanya hivyo ningeshangaa, lkn inavyoonekana wewe na yeye ni wa type hiyo ya club, na alichofanya kinaendana na mazingira ya club, hupendi hama mabondeni! Mimi huwa nashindwa kushangaa... viwanja vyako ni bar, unampata mwenza huko hlf baadaye unakuja kulalamika kuwa mwenzako chapombe sana! Huwezi kupata sega la asali kwenye kiota cha mwewe, na palipo na siafu humkuti nyoka.