Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
Wao wanaweka nakuja kutoa mapovuAnd single motherhood isnt a crime or a disability.
Niseme nn na surayangu ya baba muache kutusema wakat tunafanana πsophy27 Ya kwel anayosema Unique Flower
πππWeeeSema tukupe koneksheni ya wanaume wakali dada π
πππ abeee?
Ndio π€£π€£πππWeee
Kama unaongea namimi nipe tu maana chibabu kasafiri Tena so kurudi nikamuda kidogoSema tukupe koneksheni ya wanaume wakali dada π
Tuache kwa kweli π€£
Kwahyo hyo me nmefanana na wwNiseme nn na surayangu ya baba muache kutusema wakat tunafanana π
Nakupa MwachiluwiKama unaongea namimi nipe tu maana chibabu kasafiri Tena so kurudi nikamuda kidogo
Sitaki kama niwahukuNakupa Mwachiluwi
Sasa mkiambiwa ukweli msiwe mnanunaTuache kwa kweli π€£
Ndio tumeamua tuwe hivi
Me sinuni bablaiSasa mkiambiwa ukweli msiwe mnanuna