Hiki kitukimeniuma, japo ni kidogo! Jirani kaomba unga wa Sembe kaenda kufulia viatu

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
1,691
Reaction score
2,967
Habari za Jpili wana Jukwaa

Nimerudi nyumbani after church nikawa nafanya mambo wawili matatu kwa ajili ya mchana huu.

Mara jirani akagonga mlango, nikafungua.
Tukasalimiana vizuri. Alikuwa na kibakuli mkononi. Akaniomba kama nina Unga ugali nimsaidie kidogo kwenye bakuli lakke nikamjibu ninao. Akauliza ni Dona au sembe?

Nikamjibu ni Sembe. Akasema ndo mzuri. Basi nikamchotea nikampa. Baada ya muda nikaona ule unga wangu anautumia kufulia viatu vyake.

Mimi nilijua labda kakwama unga wakati anapika ugani kumbe ni unga wa Kung’arishia viatu??

Nimeumia japo ni jambo dogo. Maisha haya ni magumu sana. Tuwe na Discpline na vyakula.

Jpili njema

Push to Start
 

[emoji2] hayo sasa ndio majaribu yenyewe yakupasa uyashinde


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaishi na shetani nyumba ya jirani.Funga SIKU TATU bila kula chochote.Usitoke nje siku mbili bila sababu ya msingi.Washa mshumaa mmoja wa kati huku unahuzunika na kukemea pepo.Baada ya siku tatu za maombi,chemsha uji chukuchuku unywe kujisafisha na huyo mwovu.Endelea na maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…