Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Yani hii generation yetu imeharibika. Wanaume wanaojitambua na wapo tayari kuoa ni wachache na wanawake wanaojitambua ambao wako tayari kuolewa ni wachache, waliobaki wote ni vichefuchefu.
Wanaume wanakimbia majukumu yao na wana uwoga wa maisha na wanawake wanataka wanaume wenye pesa tu. Na uvumilivu kwenye mapenzi siku hizi ni zero. Wanaume wanatembea na wake za watu kwakua wanataka kulelewa na wanawake wanatembea na vibabu kutaka fancy lifestyle na ku travel around the world.
Yaani kizazi hiki kuanza na mtu from scratch ni nadra sana tunataka vitu tayari ready made. Unakuta siku hizi mwanaume yupo 35 huko hajaoa na mwanamke 30s hajaolewa.
Wengine ndio wamejiamulia wajizalie tu ata wapate wakuwalea uzeeni. Wanaume gays ni wengi mnoo na wanawake wanaosagana wapo tele.