Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Kataa ukubali Kizazi hiki ndo mtaji mkubwa sana wa Ccm.
Ccm kwenye kampeni zao Huwa wanakirinda Kwa wivu mkubwa mno.
Kizazi hiki kinakiambia ccm imetulea.Ccm imeleta Amani Nchi hii nk.
Kizazi hiki kikiisha wanaobaki ni vijana wachache tu ambao hawajitambui Bado ndo supporters wakubwa wa ccm.
Kama una picha nyingine Tupia