Pre GE2025 Hiki kizazi ndo kinachoibakiza CCM madarakani. Hukiambii kitu kikakuelewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Kataa ukubali Kizazi hiki ndo mtaji mkubwa sana wa Ccm.

Ccm kwenye kampeni zao Huwa wanakirinda Kwa wivu mkubwa mno.

Kizazi hiki kinakiambia ccm imetulea.Ccm imeleta Amani Nchi hii nk.

Kizazi hiki kikiisha wanaobaki ni vijana wachache tu ambao hawajitambui Bado ndo supporters wakubwa wa ccm.


Kama una picha nyingine Tupia
 
We nyumbu heshimu binadamu wenzako, una ruhusa ya huyo mama kutumia picha yake, kwanini usiweke ya mamako? Ndio maana mnaitwa nyumbu zero brain. Wapumbavu km wewe nani ampe uongozi wa nchi
 
KWELI KABISA.
 
Aisee we Jamaa, Sasa muache tuu shemeji aolewe Ukifa!
 
2030 kitakuwa kimekufa chote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…