MwanaCBE JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,771 Reaction score 804 Oct 6, 2010 #1 Mtazamo wangu: kizaza cha CCM cha kuanzia miaka ya 1960 ni kiovu na hakina uadilifu wa kuongoza. Hawa wanachochewa na baadhi ya vizee ambavyo vishakuwa vishenzi ktk nji hii kama Shimbo na Kingunge.
Mtazamo wangu: kizaza cha CCM cha kuanzia miaka ya 1960 ni kiovu na hakina uadilifu wa kuongoza. Hawa wanachochewa na baadhi ya vizee ambavyo vishakuwa vishenzi ktk nji hii kama Shimbo na Kingunge.
Mfamaji JF-Expert Member Joined Nov 6, 2007 Posts 6,630 Reaction score 1,945 Oct 6, 2010 #2 Ni cha nyoka hadi vitiukuu vyao vimekifa bado vya nga'ngania madaraka hata aibu havina . Hopeless kabisa
Ni cha nyoka hadi vitiukuu vyao vimekifa bado vya nga'ngania madaraka hata aibu havina . Hopeless kabisa