Hiki Nacho Kitendawili! Nikitegueje?


Sio kwamba nawajua sana, ila nimejaribu kufikiria upande mwingine, sio lazima kila habari unayoletewa uimeze nzima nzima bila kuitafutatafuta hadi ilainike kabisa.

Pia kumbuka usemi wa leo kwa mwenzio kesho kwako, may be in a different way. Ukiona mwanaume anatafuta ushauri unaofanana na kudhalilisha na kukebehi mwanamke mwenzio, muogope kama ukoma, mfano mzuri ni mleta mada hii.
 
Kaka hawana utamaduni wa kurejesha? unanipa wasiwasi maana na mimi niliazimwa laki tatu na mtu wa kanda ya huko tangu mwezi november mwaka jana, nimesharudishiwa laki moja tu mpaka sasa, ila amerudi tena juzi nimuongezee milioni!

kifuatilie hiki kisa mpaka mwisho afu utapata jibu mwenyewe Mkuu!
 
kumbuka hii kauli ya jk
"ukitaka kula lazima uliwe"
ndo mchezo utakaochezewa,huwez kumdai ukishapiga game
 
Jamani, kwani laki 3.5 ni nyingi sana kununua ngono? Kwani huwa mnanunua sh ngapi?Kumbe ndo maana mie sipati mnunuzi. Kha!
Taja bei yako nikununue kama nitaweza, habari ya BS haiendani na biashara yako unless unatoa mkopo
 
Michael aseme anamtaka dada au hamtaki, hizo longo longo nyingine ni za kitoto.

Freema una madongo! dada simtaki kwani hayo makubaliano ya penzi angeyaleta bahada ya kunilipa pesa zangu hapo ningemfikiria! (maana mke wa mtu ni sumu).
 
nimekuelewa.
 
Kaka hawana utamaduni wa kurejesha? unanipa wasiwasi maana na mimi niliazimwa laki tatu na mtu wa kanda ya huko tangu mwezi november mwaka jana, nimesharudishiwa laki moja tu mpaka sasa, ila amerudi tena juzi nimuongezee milioni!

Tena bro hizi 50, 30 nishakopwa sana na wadada, ukimdai anakupotezea inshu nyingine mpaka unasahau! au unaona aibu kumdai.
 
Na wewe unaonekana hujatulia anytime unaweza kuanza kubanjua amri ya sita..maandishi yako yanajionyesha ..miezi miwili bado haijafika ya kulipwa deni lako?
 
ametoa tahadhari, nimeielewa.
Unajua mi Mwali sipendi kubishana na watu? lol

Naona da freema amenipiga madongo wakati mie ushauri niliomba nifanyaje mtu kanikopa alafu anataka penzi langu! ilikuwa ni either kama ushauri kwa jinsi anavyoelewa yeye!
 
mhm....mie naona huyu hataki lipa hela sasa potezea kabisa
 
Kwanza hiyo kesho hanioni nikipita pale ni tinted mwanzo mwisho, mahitaji yote ataenda kuchukua yule housegirl wangu!

Kmtuma house girl wako haitoshi na wala haisababish wewe krdshwa zako pesa.
Kama unataka urudshiwe pesa zako heb jarib kmtega na wewe, mwambie unashda kbwa sana unahtaji kale kamzigo, kama n wakkpa atakpa ila kama ndo ypo kmahaba zaidi utaanza kmfahamu na hapo ndo utaanza kmlia buyu mwanzo mwisho, ila kama na wewe unataka utamu basi komaa nae, lakini mm skushauri upate PENZI
 
na wewe nawe,kila anaekutaka unatuelezea humu,ndio niseme una bahati ya kupendwa au vipi?yale ya house girl uliyamaliza vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…