Hiki Nacho Kitendawili! Nikitegueje?

Ndugu Michael ni mwoga, tena ni mwanaume mwenye kuendekeza umbea, na zaidi ya yote ni mbahili na anapenda vya bure.

Freema Agyeman Haya maneno mbona makali sana tena kila nikiyakiria yanajirudia rudia kwenye ubongo wangu!
Au ni wewe muhusika au unajua inshu nzima ilivyo?
 
wachagga hoa kashapima kauwezo kako hivyo kaona hapo anaweza kuchuma akaenda kumalizia kibanda chake kwa wazazi wake. Hiyo ndo moshi mkuu.
 
wachagga hao kashapima kauwezo kako hivyo kaona hapo anaweza kuchuma akaenda kumalizia kibanda chake kwa wazazi wake. Hiyo ndo moshi mkuu.
 

we sifia tu,siku hizi ukila mke wa mtu nawe unaliwa.
 
Kama katokea Pande hizo huyo ndio katabia kake hako..
 
kubalianeni rate pamoja na payment schedule, say 50 thou per fling per week; then mna-deduct accordingly mpaka mkopo uishe... just be pragmatic under the prevailing circumstances
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…