Hiki ndicho alichokifanya Terrence J alipokanyaga ardhi ya Tanzania

Hiki ndicho alichokifanya Terrence J alipokanyaga ardhi ya Tanzania

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
NEWS DAILY
148trsj.jpg

Tanzania imepata ugeni toka Nchini Marekani naye si mwingine ni Terrence J ambaye pia ni mtangazaji wa E! Entetainment Tv ya Nchini Marekani,akiwa na wenzake amefanikiwa kuikanyaga ardhi ya Tanzania July 10 2014.

Hii imekua ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Jakaya Kikwete aliyoiahidi Dodoma kwenye kampeni ya Tanzania Naiaminia kuleta wadau wa muziki na filamu wanaotambulika kidunia kwa nia ya kubadilishana mawazo na wadau wa muziki Tanzania.

Terrence J mchana wa leo July 12 alikutana na mashabiki wake kwenye duka la A Novel Idea lililopo Slipway Msasani ambapo alikua akigawa bure kitabu cheke cha "The Wealth Of My Mother's Wisdom"kama Clinic kwa watu 100 wa kwanza.


Vitabu hivyo viliwekwa saini ya yeye mwenyewen Terrence J,usiku wa July 12 wafatiliaji wa filamu zake usiku huu walikuwa nae kwenye redcarpet ya mlimani City na baadae kwa pamoja nae wakashuhudia filamu yake ya ‘Think Like A Man Too' ni good time ya ukweli mtu wangu.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.














250trsj.jpg



258trsj.jpg
















- See more at: News Daily: HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA TERRENCE J TANZANIA JANA JULY 12 ALIPOKANYAGA ARDHI YA TANZANIA…MATUKIO KATIKA PICHA
 
Lini ataenda Ikulu kusalimia? Nadhani bendi ya Polisi itakuwepo kumpigia nyimbo za taifa pale atakapo kanyaga kapeti jekundu la ikulu yetu.



Sent from my iPad using JamiiForums
 
kwenda movie mlimani city ndo wame over dress hivo? Tehe tehe ,huyo mwenye gauni la purple na hilo likitu kichwani si aliziba wenzake jamani
 
Ameshindwa kutambua majukumu yake ya msingi...Hajui Tanzania ina hali mbaya kiasi gani...Natamani macho yake yangefunguka akajua ukweli!
 
Our country has completely lost its direction since the current president came into power, we have been dealing with trivial issues, I'm praying next president will completely change our altitude of Tanzanians and take us to the next level by appointing leaders with positive thinking not like the one we have now who most of them are completely rubbish.
 
Simfahamu Rais mwingine aneyafanya mambo ya ajabu Africa kama huyu Jamaa wa Msoga.

Kikwazo cha kwanza cha ukuaji wa hiyo tasnia ya filamu ni umasikini, watanzania hawana disposable income ya kununua kazi hizo.
 
Back
Top Bottom