round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Niliwahi kuishi Jirani na single mom mwenye mtoto wa miaka 3, nimwage sifa zote kwa huyu mama maana alikuwa ni pisi haswa, yupo kwenye 28, shape matata, urefu kiasi futi 5.6, Rangi mashalaah halafu ni msafi balaa.
Nakumbuka hakuwa na mazoea na watu wengi ila chemistry zetu ziliendana basi tukawa marafiki, Sometimes akipika msosi ananiletea ama sometimes ananiita niende kwake tunakula, natoa sifa za ziada the lady can cook, anajua kupika.
Tulizoeana zaidi stories za hapa na pale lakini Lengo langu lilikuwa nije kupiga, hakuna cha ziada. Katika miezi miwili tuliyojuana sikuwahi kumuona mwanaume yeyote akiingia ndani kwake, Hali hii ilinipa ujasiri wa kuamini maneno ya siku flani alipowahi kuniambia "Walahi huwezi amini niko single"
Kuna siku akaja kwangu mida ya jioni jioni saa moja flani hivi kigiza kimeanza kuingia, Wala hakugonga mlango, halafu pia alionekana ana haraka sana, akaja karibu kwenye sofa nilipokaa tukaanza kujuliana hali, wakati tunaendelea maongezi akapumzika kwenye kifua changu, alisema kapata dharura akaniomba nienda kwake nikae na mtoto, atarudi baada ya masaa matatu, Aisee !! Vile alivyokuwa kanilalia kifua, ile eye contact anavyoniangalia kwa macho ya kurembua utadhani kavuta mjani na sauti yake laini nikajiapiza huyu ana phd ya ushawishi.
Mr Dee pale chini nilijaribu kumzuia lakini wapi, alianza kuinua hema. kwenye situation kama hizi huwa nampa jina la utani “Bwana Neno” kwasababu Neno litasimama.
Nitoe wapi nguvu ya kusema NO! Nikatii amri nikamwambia hakuna shida nachojali zaidi arudi akiwa salama, Basi akanipa tabasamu halafu akanipapasa nywele za kifua, nilidata ! halafu alivyokuwa ananiaga akanichekea kichokozi.
EE bwana ee, ndugu zangu, nikajisema leo ndio leo mtoto kautaka !
Kwa motisha aliyonipa huku kichwani nategemea marupurupu ya kipekee, Mimi huyoooo, nikaenda kwake. nilipanga nisirudi kwangu, nikapiga hesabu huyu akifika tu namwambia nimesahau nilipoweka ufunguo so lazima ataniruhusu nilale kwake halafu mimi nitamalizia kila kitu, Akili mtu wangu !
Nilipoingia kwake nikamkuta mtoto wake yupo anaangalia katuni. Huwa anapenda kuimba kwahio nikamwambia aweke nyimbo zake tuimbe pamoja.
Nyimbo zilikuwa nyingi ila nilipenda kuimba na kurudia rudia wimbo wa mabata yanaogelea, ni mashairi ambayo hayawezi kunitoka kichwani daima, nilichuchumaa na kuanza kutembea mwendo wa bata, mtoto na yeye akaniinga tukawa tunaimba pamoja
Mabata madogo dogo. yanaogelea, yanaogelea, katika shamba zuri la bustani ! Yanapenda kulia, kwa kwa kwa
Haya yote niliyafanya kwasababu nilikuwa nasubiri kumega tunda, maskini mtoto wa watu hajui leo nimeplan kumla mamake. Tukiwa tumechuchumaa kama mabata ghafla mlango ukafunguliwa. Ni mama yake karudi! Natabasamu na kujawa nafuraha.
Eboo !! Kuna mtu mwengine anaingia, harufu ya kiume inatawala mule ndani, naliona jitu lenye misuli tinginya, limepanda hewani futi 6 hivi, Kiatu namba 43. Weee! Nilikuwa nimesimama na mtoto, akaanza kulia eti uncle uncle, tuendelee bata dogo dogo yanaogelea. Hehe, mtoto mdogo hakuweza kunisoma kabisa butwaa nililopigwa nalo pale, kiufupi sikuwa kwenye mood kabisa
Ukimya ulitawala kidogo mule ndani, mama yake akasema "So huyu ndo jirani nilikuambia nimemuachia mtoto, anaitwa xxx" huku ananionyeshea kidole.
Sikuhitaji introduction za ziada, najua tayari kinachoendelea, hii script wala si ngeni kwangu. Akaniambia huyo ni Colleague wake nikajibu Okey. Okey, nikatoa ishara ya dole gumba ni fresha 👍🏾 kisha nikaondoka, nilijiongeza maana tayari uwepo wangu hauhitajiki. Nilipotoka nikaskia wamefunga geti la mlango hadi ile loki chini, nikajua baaas, Imeisha hiyo !
Kesho asubuhi naskia mtu anagonga mlango, Kuenda kuchungulia ni mtoto, aliponiona dirishani nachungulia akaanza kuimba yanasema kwa kwa kwa. Mmmh! Nikajisemea huyu aende atafute watoto wenzake. Niliyoyafanya jana ni kwasababu ya lengo moja tu, nikawaza zaidi itakuwa wamemwambia aje kwangu ili wafyatuane kwa kwa uhuru jikoni, Shenz type ! Nikampigia mama yake aje amchukue haraka nipo bize, Nilirudi kitandani kuchapa usingizi nimemuacha pale anaimba kwa kwa kwaaa !
Unataka ujue kilichokuja kutokea mimi na huyu mwanamke, huo mkasa wa siku nyingine 😅😅😅
Logging out