Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Asikwambie MTU hakuna kitu kinachonikera kama:
1.Kumwona MTU anakabwa halafu nashindwa kumsaidia(Mimi mwanaume wa dar)
2.Kumwona MTU ninayemjua akimuibia mwengine(nashindwa kumwambia asimuibie)
Nawe ni kipi kinakuudhi
Nalog off