Huwa navutiwa na mambo furani kutizama soka la wanawake.
Baadhi ya mambo hayo ni;
4. Jinsi wavyopiga penalt bila ufundi ile ni potelea pote.
1. Wanavyokabana uwanjani.
2. Wanavyoshangilia.
3. Hawana misuli ya kupiga mpira.
Wewe unapenda nini katika soka hili la akina dada.