Hiki ndicho kipimo cha upendo kwa Platinumz ama ni ushabiki upepo?

Hiki ndicho kipimo cha upendo kwa Platinumz ama ni ushabiki upepo?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Wengi wa wamiliki wa simu zenye uwezo wa kutunza nyimbo, lazima ukute ana wimbo fulani ama wowote ule wa msanii wa kizazi kipya, diamond platinumz. mimi mwenyewe nikiwemo wa kwanza.

Sasa nimekuwa najiuliza sana, je hii ni indicator kwamba diamond platinumz anapendwa sana na Watanzania walio wengi kwa kazi nzuri nzuri anazozifanya?

Pia, msanii diamond, recently amekuwa akichaji pesa nyingi sana kama malipo kwa kila shoo anayofanya, na bado watu wamekuwa wakihudhuria kwa wingi mno tofauti na wasanii wengine, je hiki nacho ni kipimo kwamba diamond anapendwa kuliko wasanii wengine Tanzania?

wali:

Je, siku ikitokea kukapangwa show moja kufanyika siku moja, muda mmoja, jiji moja hili hili la DAR ila kumbi tofauti,

Je ni msanii gani ataeongoza kwa kujaza ukumbi na wingi wa mapato kati ya diamond platinumz, Lady Jay dee, Mwana FA, na OMMY DIMPOZ?

Assume kwamba, hii show ni mwanamziki mmoja tu, hakuna kusindikkizana!. nani ataibuka kinara hapa?
 
Sio lazima kwa sababu siyo sheria, mie mbona sina!!

Yote kwa yote kinachonifurahisha ni kwamba Diamond haimbii NGONO anaimbia MAPENZI. Wanaoimbia ngono ni wale unakuta anaimba sijui mtoto chuchu saa sita, kiuno kimefanyaje sijui na vitu kama hivyo ila, tenzi za Diamond zime-base kwenye mapenzi!! Kwamba kupenda si chuchu, kiuno au ---- kama wafanyavyo wengi, kupenda ni hisia tu.
 
Atajaza diamond
!!!!Hivi ameshamnunulia Wema vifaa ya ofisin na kumpangishia jumba la kifahari
Sorry naomba hapa apajibu evelyn atakua anajua
 
pamoja na kuwa na elimu ndogo, lakini diamond amekuwa mbunifu sana na ameliteka sana soko la muziki bongo!

who is behind the scene of diamond's success?
 
Atajaza diamond
!!!!Hivi ameshamnunulia Wema vifaa ya ofisin na kumpangishia jumba la kifahari
Sorry naomba hapa apajibu evelyn atakua anajua

Bado kuhonga nacho kipaji,
two weeks zilishapita na hakuna kitu
 
Bado kuhonga nacho kipaji,
two weeks zilishapita na hakuna kitu

Yaan hapo tu ndio hana kipaji awaachie kina clement mtoto akapelekwa hadi china kubadili ngozi amshukuru sana kidogo awe na ngozi ya nguruwe
 
Back
Top Bottom