Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Wengi wa wamiliki wa simu zenye uwezo wa kutunza nyimbo, lazima ukute ana wimbo fulani ama wowote ule wa msanii wa kizazi kipya, diamond platinumz. mimi mwenyewe nikiwemo wa kwanza.
Sasa nimekuwa najiuliza sana, je hii ni indicator kwamba diamond platinumz anapendwa sana na Watanzania walio wengi kwa kazi nzuri nzuri anazozifanya?
Pia, msanii diamond, recently amekuwa akichaji pesa nyingi sana kama malipo kwa kila shoo anayofanya, na bado watu wamekuwa wakihudhuria kwa wingi mno tofauti na wasanii wengine, je hiki nacho ni kipimo kwamba diamond anapendwa kuliko wasanii wengine Tanzania?
wali:
Je, siku ikitokea kukapangwa show moja kufanyika siku moja, muda mmoja, jiji moja hili hili la DAR ila kumbi tofauti,
Je ni msanii gani ataeongoza kwa kujaza ukumbi na wingi wa mapato kati ya diamond platinumz, Lady Jay dee, Mwana FA, na OMMY DIMPOZ?
Assume kwamba, hii show ni mwanamziki mmoja tu, hakuna kusindikkizana!. nani ataibuka kinara hapa?