Hiki ndicho kipimo cha upendo kwa Platinumz ama ni ushabiki upepo?

halafu siku nyingine uwe unatoa like kabla hujaquote, sawa?

halafu na rep power pia jifunze kuwapa na wenzio, sawa eenh!?

Naona unataka hadi mods waseme u have reached your rep power limit
khaaaaa zote hizo na bado unataka?
 
Haya sasa nimeambiwa hivi "you must spread rep power around before giving it to Excel again"
acha uroho alaaaaaah
 
Last edited by a moderator:
Lazima niende kwa Platinum aisee manake nafahamu totoz za ukweli zote zitakuwa huko; zile totoz zenye ugoko najua zitakuwa kwa Jide wakienda kukumbushia walivyofanywa na Yahya...hawa wenye ugoko ndio wenye kuwa concerned na Yahya anaishi wapi coz' kila siku wao wanaota ndoa tu wakati ndoa zenyewe ni majanga. Hawa wenye ugoko taabu kweli; umezoeana nae masaa tu, utasikia wazazi wako wanaishi hapa hapa au mkoa...hee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…