Hiki ndicho kitu chenye speed kuliko vyote na anacho binadamu

Hiki ndicho kitu chenye speed kuliko vyote na anacho binadamu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Fikra au Mawazo. Speed yake haijaweza pimwa mpaka sasa. Ukikaa ndani ya sekunde unaweza ukawaza umefika Ulaya na kurudi Tz. Ilhali hujanyanyua hata nyusi.

Unaweza waza mambo kadhaa ndani ya musa mfupi sana au ukaenda sehemu na lazima kurudi ndani ya muda huo huo mfupi kwa mawazo. Hata unaweza baka au sex na mwanamke kwa mawazo ndani ya muda mfupi sana.
 
Back
Top Bottom