Fundi_Mjasiriamali
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 748
- 1,340
Mwanzo mgumu kijanaa safar bado ndefuMkuu hiyo cherehani duh! Nilidhani kitu unique
Pamoja mkuu.. safari moja huanzisha nyingineHongera sana. Kaza buti mwisho utafanikiwa
Pamoja sana..And All The Best katik Idea yako
Naanzia nyumbaNi mkuu, if Mungu akisaidia buashara ikichanganya vizuri nategemea kuwa na frem barabaranDuuh kwa cherehani hiyo!!!!
Unajua maana ya karakana (workshop)?
Kaanze kushona na kudesign viatu maeneo ya sokoni,,,,
Sikushauri uanze na kiwanda,,Bado unahitaji mtaji wakutosha
Mkuu hiyo noliyoweka ni sample tu ila nataka ambayo ni fullView attachment 834645View attachment 834647izo bongo akuna tafuta mtu ambae yupo china then muagizie iz
kama huna mtu nitafute
Asante mkuu,,,,Hongera sana mkuu
Hahahahahahaha... usiwaze mkuuMkuu ongeza vyerehani vigine vitatu kwa maana agizo la mkuu kiwanda ni vyerehani vinne
Hongera! Naamini wale ambao tayari wanafanya shughuli hizo wanajua pa kupata japo wanaweza wasikupe ushirikiano. Lakini anzia hata hapo, utajiongeza!Wakuu hii kitu nahitaji View attachment 834588