Hiki ndio chanzo cha kuzaa watoto mapacha walioungana

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Kutotibu malaria wakati wa ujauzito, matumizi ya vyakula na vinywaji visivyo salama hasa vyenye gesi na tindikali ni chanzo cha kuzaa watoto wenye maumbile yasiyo ya kawaida ikiwemo mapacha walioungana
Vitu hivyo vimetajwa kuwa sababu ambazo huvuruga mfumo wa utengenezwaji wa viungo kipindi ambacho mtoto huanza kukua tumboni
Hayo yalisemwa jana na daktari bingwa wa upasuaji wa watoto kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Zaituni Bokhari alipokuwa akitoa majibu ya vipimo vya mapacha wa kike walioungana waliozaliwa hivi karibuni mkoani Morogoro
Dk Bokhari alisema hakuna sababu maalum mpaka sasa ila kuna vitu ambavyo husababisha kujifungua mtoto ambaye sio wa kawaida

Chanzo: Mwananchi
 
duh ni hatari jaman!na tulivyo wavivu kunywa /kuhudhuria clinic! yaan unaleta dunian kiumbe chenye kasoro kwa UZEMBE!
 
Kutotibu malaria wakati wa ujauzito, matumizi ya vyakula na vinywaji visivyo salama ni chanzo cha kuzaa mapacha walioungana
Chanzo: Mwananchi
mhhhh !!! sidhani kama ni kweli

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
unaiabisha avatar yako!hujaona amesema source MWANANCHI
Sorry, nimerekebisha... yan nilihisi kama vile ye ndo mwananchi.. hapo namaanisha mwananchi watupe source ya information yao.

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…