Hiki ndio kikosi bora cha Ronaldo Nazario De Lima, kawataja Messi na Ronaldo

Hiki ndio kikosi bora cha Ronaldo Nazario De Lima, kawataja Messi na Ronaldo

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
photo_2024-04-06_12-38-09.jpg
Straika wa zamani wa Brazil, Ronaldo Nazario De Lima ambaye pia amewahi kuchezea Klabu za Barcelona, Real Madrid, InterMilan, AC Milan ametaja kikosi chake bora cha muda wote wakiwemo Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

Hiki ndio kikosi chake; 1. Gianluigi Buffon 2. Cafu 3. Roberto Carlos 4. Fabio Cannavaro 5. Paolo Maldini 6. Zinedine Zidane 7. Pele 8. Diego Maradona 9. Ronaldo de Lima 10. Lionel Messi na 11. Cristiano Ronaldo.

Unadhani nani mwingine alistahili kuingia kwenye hiki kikosi au kuwekwa benchi?
 
Hiki kikosi chake ni sawa na mwingine aje ana orodhq yake kama:-
1. Pele
2. Maradona
3. C. Ronaldo
4. L. Messi
5. Ronaldo
6. Ronadihno
7. G. Best
8. Zidane
9. Okocha
10. Weah
11. Cassilas
 
Yani akipatikanq kipa wanacheza mechi

Na beki wawili, mambo ya galastico
 
Kiuhalisia hiyo sio timu yenye uwiano mzuri kiuchezaji. Nani anakaba hapo eneo la katikati ya uwanja?
 
Mimi namtoa Zidane namweka Andrea Pirlo.Afu nimeshindwa kuelewa Ronaldinho amekosaje nafasi Kwenye kikosa Cha jamaa
Wachezaji wanatakiwa 11 tu na si vinginevyo, jaribu kuheshimu kikosi Cha jamaa
 
Wewe na nazario nani anayemjua ranaldinho?
Sio lazima nimjue kihivyo, si mpira huwa tunaona.Sema huyo Nazario wako ana personal issue na Ronaldinho ndo maana hakumweka Kwenye kikosi chake.
Kwenye ulimwengu wa Soka hakuna kikosi Bora ambacho mtu anaweza tengeneza bila kumtaja Ronaldinho.
 
Dinho kawaida sana hiyo miamba iliyowekwa hapo haigusi
 
Back
Top Bottom