Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wachezaji wanatakiwa 11 tu na si vinginevyo, jaribu kuheshimu kikosi Cha jamaaMimi namtoa Zidane namweka Andrea Pirlo.Afu nimeshindwa kuelewa Ronaldinho amekosaje nafasi Kwenye kikosa Cha jamaa
Hakuna vile mtu anaweza kutaja kikosi Bora Cha soka Duniani afu umuache nje Ronaldinho.Huyu mtu labda awe mkurupukaji tu asiyejua mpira.Wachezaji wanatakiwa 11 tu na si vinginevyo, jaribu kuheshimu kikosi Cha jamaa
Hiko ni kikosi chake, tengeneza cha kwako umuweke Gaucho na ChujiMimi namtoa Zidane namweka Andrea Pirlo.Afu nimeshindwa kuelewa Ronaldinho amekosaje nafasi Kwenye kikosa Cha jamaa
Wewe na nazario nani anayemjua ranaldinho?Hakuna vile mtu anaweza kutaja kikosi Bora Cha soka Duniani afu umuache nje Ronaldinho.Huyu mtu labda awe mkurupukaji tu asiyejua mpira.
Sio lazima nimjue kihivyo, si mpira huwa tunaona.Sema huyo Nazario wako ana personal issue na Ronaldinho ndo maana hakumweka Kwenye kikosi chake.Wewe na nazario nani anayemjua ranaldinho?
Dinho kawaida sana hiyo miamba iliyowekwa hapo haigusiSio lazima nimjue kihivyo, si mpira huwa tunaona.Sema huyo Nazario wako ana personal issue na Ronaldinho ndo maana hakumweka Kwenye kikosi chake.
Kwenye ulimwengu wa Soka hakuna kikosi Bora ambacho mtu anaweza tengeneza bila kumtaja Ronaldinho.
mayele na aziz ki ndio nani katika ulimwengu wa soka? Acha kuharibu uzimimi namtoa ronaldo delima namuweka mayele,hapo maladona namuweka aziz ki alafu zidane anaingia ndani.