Hiki ndio kikosi pekee cha timu ya taifa kilicho wahi fanya maajabu na ipo siku kitashangaza Dunia.

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Cha msingi TFF waturudishie aliyekuwa kocha wa serengeti boys enzi hizi.

Watatu kutoka kwenye timu hii wamesha pata timu nje ya nchi.
 
yaani yule dogo kevin john hayupo haupo serious kabisa
 
Kibabage --yupo Defaa el Jadid Morroco
Mkomola --- yupo Arsenal Kiev ya Ukraini
Ng'anzu --- yupo Minisota Utd ya Marekani
 
Kim Poulsen angeifikisha Tanzania mbali sana ila TFF waliona anawazibia ulaji
Wapumbavu sana hawa tff
Mzee yule hao vijana wote ni kazi yake aliwaandaa toka zamani mnoo.

Nchi za wazungu watu kama kina Paulsen ni muhimu tatizo huko ulaya kwao kuna vichwa zaidi yake.
Pale Leicester kuna mzee yeye ndo injinia ya team kaleta wachezaji na kuibua kibao.

Arsenal kuna edu pale ..
 
Mkuu! Hiyo timu ndo imeshakufa hapo....wangekuwa na shida na hiyo timu wasingemfukuza Kim Paulsen kwani hakuaribu saana.

Hao watoto...wenye connection watacheza mpira...wasiyo na connection hakuna atakayejua walipoishia...hii ndo Bongo bwana...Kila kitu no dili za watu.
 
Kim hakuwa mzee,acha hizo

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…