Hiki ndiyo kikosi changu bora cha mwaka 2022

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2015
Posts
3,117
Reaction score
6,897
Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden.

Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022.

Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui Mpira kwani hata Wachezaji wakubwa wa Barani Ulaya hawawezi kupingana na Kikosi hichi ambacho ndani yake muna Wachezaji bora zaidi Duniani kwa sasa.

Mbappe - Haaland - Salah

B. Fernandez - Kante - C. Chama

Robertson - VVD - Inonga - Kapombe

Alisson
 
Dah.....! Ntibanzokiza,Phiri na Fei Toto wamekosa kbs Kuingia hapo..?

Basi Tufanye Wanasubiria Kwa Benchi, Sio haki Kutowataja Kbs..!
 
Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden.

Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022.

Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui Mpira kwani hata Wachezaji wakubwa wa Barani Ulaya hawawezi kupingana na Kikosi hichi ambacho ndani yake muna Wachezaji bora zaidi Duniani kwa sasa.

Mbappe - Haaland - Salah

B. Fernandez - Kante - C. Chama

Robertson - VVD - Inonga - Kapombe

Alisson
Kama ni Dunia ya buza, sawa
 
Tatizo, wakati mwalimu wa Jeografia anafundisha wewe ulikuwa bize kusugua wenzako na vitunda vya ubuyu.
 
Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden.

Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022.

Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui Mpira kwani hata Wachezaji wakubwa wa Barani Ulaya hawawezi kupingana na Kikosi hichi ambacho ndani yake muna Wachezaji bora zaidi Duniani kwa sasa.

Mbappe - Haaland - Salah

B. Fernandez - Kante - C. Chama

Robertson - VVD - Inonga - Kapombe

Alisson
Unaikumbuka Real Madrid ya kipindi kile?
Alikuwepo Figo, Zidane, Ronaldo De Lima, Roberto Carlos, Bekham n.k lkn walikuwa wanachezea kichapo
 
Labda kikosi cha miIzinga ,hapo amekosekana na kocha wao Kalapina.

Unaanzaje muacha mtu kama Mane, Messi, Ronaldo, Neymar,Suarez, Countinho,
 
Mtu aliyetoka porini upeo wake unaishia kuangalia simba na yanga

Akiangalia mpira wa nje ni amefuata mkumbo wa watu

Nilitaka nikuite mjinga kuwaweka wachezaji wa ligi ya Tanzania hapo ila nimeghairi kwasababu kichwa yako haijui mpira
 
Hiyo ilikuwa Real Madrid mdobwedo ndiyomana ilifungwa mpaka na Arsenal.
Lakini sio Likosi hili kubwa la Mwaka 2022
Unawajua hawa wachezaji lakini? Google mchezaji mmoja mmoja ili uwafahamu vizuri.
Kwenye mshahara wanaolipwa anayeweza kuwafikia ni Mbape.
 
Unazungumzia Mesi huyu aliyeshinda Kombe kwa Penalty tokea kwenye Makundi au?
Halafu Mimi Nimezungumzia 2022 sasa Suarez na Coutinho wameingiaje hapa???
Kwani Suarez na Coutinho hawajacheza ligi 2022, Huyo Messi unaemzungumzia hizo penalty alikuwa ananunua au
 
Mkuu hapa umewataja wachezaji wako unaowakubali ambao wako form !!!
 
Mbappe- halaand- joao felix

Raphina - lewandowsky- bruno fernandez

Kounde- cody gakpo- vvd- Partey

Courtois

😃😃
 
Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden.

Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022.

Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui Mpira kwani hata Wachezaji wakubwa wa Barani Ulaya hawawezi kupingana na Kikosi hichi ambacho ndani yake muna Wachezaji bora zaidi Duniani kwa sasa.

Mbappe - Haaland - Salah

B. Fernandez - Kante - C. Chama

Robertson - VVD - Inonga - Kapombe

Alisson
Halafu mtegemee siku moja serikali itahalalisha bangi? Nimekaa palee!
 
Back
Top Bottom