King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Kama ni Dunia ya buza, sawaHabarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden.
Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022.
Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui Mpira kwani hata Wachezaji wakubwa wa Barani Ulaya hawawezi kupingana na Kikosi hichi ambacho ndani yake muna Wachezaji bora zaidi Duniani kwa sasa.
Mbappe - Haaland - Salah
B. Fernandez - Kante - C. Chama
Robertson - VVD - Inonga - Kapombe
Alisson
Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden.
Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022.
Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui Mpira kwani hata Wachezaji wakubwa wa Barani Ulaya hawawezi kupingana na Kikosi hichi ambacho ndani yake muna Wachezaji bora zaidi Duniani kwa sasa.
Mbappe - Haaland - Salah
B. Fernandez - Kante - C. Chama
Robertson - VVD - Inonga - Kapombe
Alisson
Unaikumbuka Real Madrid ya kipindi kile?Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden.
Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022.
Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui Mpira kwani hata Wachezaji wakubwa wa Barani Ulaya hawawezi kupingana na Kikosi hichi ambacho ndani yake muna Wachezaji bora zaidi Duniani kwa sasa.
Mbappe - Haaland - Salah
B. Fernandez - Kante - C. Chama
Robertson - VVD - Inonga - Kapombe
Alisson
Tatizo umezidisha ushabiki maandaziKwani nawewe ulikuwemo kati ya niliowasugua ndugu?
Tatizo, wakati mwalimu wa Jeografia anafundisha wewe ulikuwa bize kusugua wenzako na vitunda vya ubuyu.
Unawajua hawa wachezaji lakini? Google mchezaji mmoja mmoja ili uwafahamu vizuri.Hiyo ilikuwa Real Madrid mdobwedo ndiyomana ilifungwa mpaka na Arsenal.
Lakini sio Likosi hili kubwa la Mwaka 2022
Kwani Suarez na Coutinho hawajacheza ligi 2022, Huyo Messi unaemzungumzia hizo penalty alikuwa ananunua auUnazungumzia Mesi huyu aliyeshinda Kombe kwa Penalty tokea kwenye Makundi au?
Halafu Mimi Nimezungumzia 2022 sasa Suarez na Coutinho wameingiaje hapa???
Imebidi nicheke cuz hii timu haina balance kabisaMbappe- halaand- joao felix
Raphina - lewandowsky- bruno fernandez
Kounde- cody gakpo- vvd- Partey
Courtois
[emoji2][emoji2]
πππ kiaje sasaImebidi nicheke cuz hii timu haina balance kabisa
Halafu mtegemee siku moja serikali itahalalisha bangi? Nimekaa palee!Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden.