Hiki Ni Kikao Cha Wanaume, Mwanamke Usije..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Macho ya Wanaume sijui yametengenezwa na
material gani, yana tamaa muda wote utadhani Simba
wa Serengeti ambaye hajala nyama wiki 2, unaweza
kuwa na demu mzuuuuriiii au mke bombaaaaaa, lakini
ukizama mtaani unakumbana na makerubi mengine
basi kope hazitulii yaani, unahisi wale wa mtaani ni wazuri zaidi wakati ukute demu wako amewazidi kila
kitu Wanaume wote tusali sala hii,
"Ee Mungu uliye
Mbinguni, tusaidie sisi tulioumbwa Wanaume tuweze
kuridhika na wanawake tulio nao, utupe mkate wetu
wa kila siku wenye JAM na chumvi kutoka kwa
Mwanamke mmoja tu, utuepushe na tamaa, na uyafanye macho yetu yatulie na sio kupepesuka kila
dakika ikipita sketi iliyotuna tuna kwa nyuma na
pembeni, Tusaidie macho yetu yasikodoe
sana, tuwapende wanawake uliotupa na wale wa nje
tuwaachie wengine" Baada ya sala hii Wanaume wote
tuseme Ameeeeen! Leo Povu Zitawatoka balaa ila ukweli ndo huu, full kugeuza
shingo tukirudi home ni kujichua na SALIMIA maana
shingo imepiga raundi mia kama Feni ya baa!
 
Kuna maoni ukiweka, matokeo yake unatuhukumu na sisi kwa kutujumuisha sisi ambao ni wanaume waaminifu kwenye kundi moja na wewe usiye mwaminifu.

Pia stereotype. Unafanya picha ionekane kua hii ni hulka ya wanaume. Kiasi kwamba tusiye na tabia hizo tujihisi tunahaja ya kujiongeza kidogo.


Na wale wenye juhudi za kuacha waone kua hakuna haja kwakua wameumbia huu ulemavu wa ngonoism.
 
Ingekuwa si hivyo usingezaliwa wewe.

Ushawahi kujiuliza kama k ingekuwa inaunguza kama moto watoto wangapi wangezaliwa?
 
Siku ya Hukumu utaulizwa neema ya kudindisha umeitumiaje sasa wewe Kaa tu na kidem chako wakati wengine wanakumezea mate utakwenda kuta kesi zao huko.
 
Figa moja halibandiki chungu braza lazima utafute stability ya kuinjika
 
Yani huu ni ugonjwa kweli wadau mi nakaaga maskani na wadau macho kuona wenzangu yani wadada wanavyopitapita najiskia amani kweli yani macho yakionaona tu naisi kuna vitamin flani vinaongezeka mwilin hivi unaweza ukamwona mdada kwa mbaali anakuja yani mwili akili inajiandaa kuona kitu kizur sasa bahati mbaya abadilishe njia nafadhaika kichiz yani naona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…