Hiki ni kipindi ambacho...

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,231
Hiki ndio kipindi ambacho MTU akitoa noti ya buku 10 mfukoni watu huhisi anafanya mazingaumbwe na kumuomba arudie kuitoa tena ka ni kweli hawaamini.
Pesa imegeuka lulu jamani??

Na hiki ndio kipindi ambacho siasa haina mvuto imefunikwa na usajili wa wachezaji hakuna anaemskiliza Ngwajay wala mange na Rc wao.

Mimi yangu n hayo tu
Nipe mtazamo wako Hali ya maisha ya sasa ukianza na prefix HIKI NI KIPINDI AMBACHO......[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
HIKI NI KIPINDI AMBACHO makaburi ya wahenga yamefufuliwa upya🙄
HIKI NI KIPINDI AMBACHO Watanzania wamelala nchi moja na Rooney
 
Reactions: cai
Wacha njaa Wewe Fanya kazi as long as we re chassing money in the right way @bukukumikitugani

Dr
 
Hiki n kipindi ambacha hutakiwi kujiita raisi kama unabisha jiite.
 
Reactions: cai
Hiki ndo kipindi ambacho Tanzania imerudisha heshima yake na sasa inajuilikana kimataifa. I love Tanzania!!
 
 
Hili ni kipindi ambacho kila Malaika atasugua benchi la kisutu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…