Hiki ni kitu labda hujawai kusikia na kuambiwa kwa nini unaumwa sana malaria

Baraka255

Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
73
Reaction score
14
Wote tunajua malaria ni hatari na ni moja ya magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo hasa kwa watoto wadogo na mama wajawazito.-


Na pia unajua njia kuu ya maambukizi ya ugonjwa huu ni kwa kuumwa na mbu jike aina ya anofelesi. Na pia umeambiwa njia mojawapo ya kujikinga na maleria ni kuepuka kuumwa na mbu hawa kwa kulala kwenye chandarua chenye dawa ya kufukuza mbu. Ndio yote uliyoambiwa ni sahihi kabisa ila kuna moja la msingi ambalo hujaambiwa ama husikii mara kwa mara.-- Kuna watu wanaowavutia sana mbu kushinda watu wengine, unaweza kuwa wewe hivyo endelea kusoma ujue kama ni mmoja wao na njia za kuepuka.

Soma zaidi click here THE INNOVATION HOUSE : UNAWEZA KUWA UNAWAVUTIA SANA MBU KUSHINDA WATU WENGINE
 
Hii inanihusu sana mimi. Kundi langu la damu sio O lakini mara nyingi nikikaa kwenye kundi la watu, mbu uwa wanashambulia mimi kuliko mtu mwingine yoyote. Kwa kulijua hili, kwenye handbag yangu sikosi kuwa na body spray ambayo ni anti mosquito.

Tiba
 
Group O ni ngangali sana ktk kupambana na magonjwa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…