Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
He was a real man ambaye alipitia Jando la miaka yetu ile. Alikuwa na kifua kipana. Alikuwa na moyo imara. Alikuwa mstaarabu sana.
Lowasa alitendwa vibaya na mtu ambaye yeye ndiye aliyemjenga pale madarakani. Lowasa alikuwa na mengi moyoni kuhusiana na mambo mengi ambayo yalifanywa na kikwete. Alinyamaza. Hakuyasema. Alitukananwa hata na watoto ambao angeweza wazaa. Hakuwajibu.
Lowasa aliondoka CDM kurudi CCM baada ya kuona mateso yanapelekwa hadi kwa wanafamilia wake. Hakuisema vibaya CDM. Alitukanwa kila kona yeye hakusema neno. Alinyamaza tu.
He was a real gentleman. Nami nafuata nyayo zake.