Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Haya maneno hayajawahi wekewa ushahidi hata siku moja. Na aliwahi waomba watu wapeleke ushahidi mahakamani.Upande wa pili hakuwa hivyo hata kidogo.alikuwa mtu mwenye tamaa kupiliza.
Umeshawahi kuona jambazi akikiri amekwapua fedha mahali.Haya maneno hayajawahi wekewa ushahidi hata siku moja. Na aliwahi waomba watu wapeleke ushahidi mahakamani.
Asipokiri mnamwacha? Basi hamna akili.Umeshawahi kuona jambazi akikiri amekwapua fedha mahali.
Tamaa anayo wa Msoga, nani mmiliki wa UDA?,taja hapa mali za Lowassa (MHSRIP),msoga pale kuna mahekalu, yaliyojengwa kwa kodi yanguUpande wa pili hakuwa hivyo hata kidogo.alikuwa mtu mwenye tamaa kupiliza.
cc uzi huu kwa The BossHe was a real man ambaye alipitia Jando la miaka yetu ile. Alikuwa na kifua kipana. Alikuwa na moyo imara. Alikuwa mstaarabu sana.
Lowasa alitendwa vibaya na mtu ambaye yeye ndiye aliyemjenga pale madarakani. Lowasa alikuwa na mengi moyoni kuhusiana na mambo mengi ambayo yalifanywa na kikwete. Alinyamaza. Hakuyasema. Alitukananwa hata na watoto ambao angeweza wazaa. Hakuwajibu.
Lowasa aliondoka CDM kurudi CCM baada ya kuona mateso yanapelekwa hadi kwa wanafamilia wake. Hakuisema vibaya CDM. Alitukanwa kila kona yeye hakusema neno. Alinyamaza tu.
He was a real gentleman. Nami nafuata nyayo zake.
Yeah!....Rip EdwardHe was a real man ambaye alipitia Jando la miaka yetu ile. Alikuwa na kifua kipana. Alikuwa na moyo imara. Alikuwa mstaarabu sana.
Lowasa alitendwa vibaya na mtu ambaye yeye ndiye aliyemjenga pale madarakani. Lowasa alikuwa na mengi moyoni kuhusiana na mambo mengi ambayo yalifanywa na kikwete. Alinyamaza. Hakuyasema. Alitukananwa hata na watoto ambao angeweza wazaa. Hakuwajibu.
Lowasa aliondoka CDM kurudi CCM baada ya kuona mateso yanapelekwa hadi kwa wanafamilia wake. Hakuisema vibaya CDM. Alitukanwa kila kona yeye hakusema neno. Alinyamaza tu.
He was a real gentleman. Nami nafuata nyayo zake.
🤣🤣🤣🤣 Mbona siku hizi navumilia tu... Nawacheck vijana. Nasema hiiiii......Wewe mtu aki post chai tu humu jukwaan unaanza kulia lia ndio utaweza kukaa kimya wewe kweli?