Simu yangu nimeiseti kila ikifika saa nane usiku muda ambao siitumii simu basi ijizime na kujiwasha yenyewe ili iwe na performance nzuri kila siku sasa leo nakuta ina hicho kialama cha VoLTE ni nini hicho
VoLTE (Voice over LTE) inakusaidia kupokea na kupiga simu pindi unapotumia mtandao wa 4G LTE. Kuna baadhi ya simu ukiset kutumia mtandao wa 4G hasa option ya 4G ONLY ni kama inablock calls na texts kuingia kwa wakati au kuonekana kama SIM iko busy muda wote.... Hiyo feature lazima iwepo kwa mtandao husika kwanza yaani 4G ya huo mtandao iwe ina support hiyo VoLTE ndipo simu nayo ina uwezo wa kuidetect na kui pick hiyo feature na kukuletea hapo icon kama yako au hata ukiingia settings then network settings utaona kuna kitu kimeongezeka ambacho huwa hakipo ukiweka laini ya 3G....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.