Hiki ni nini?...Tambua ushinde bingo

Hiyo kwanza kabisa ni picha,ya abstract yenye vitu vinne.Hapo kuna bahari,pweza,kiganja na tembo.Hivi ulisema unatoa zawadi?
 
Woote mmekosa zawadi....ni picha ya kuchora...asanteni sana kwa kujaribu
 
Woote mmekosa zawadi....ni picha ya kuchora...asanteni sana kwa kujaribu

Unajua sana sana mi nilikuwa siitika zawadi yako(wala sipendagi to be honest)Kwa hiyo unikiniambia asante kwangu ni zaidi ya zawadi.So,unaonanaje?utanipa shukrani au?(sikuombi,nakuambia)
 
charles deserves his thanks, he got it right mkuu, usiwe mbahili aisee

Jamani nimesema asante kwa wote kwa kujaribu....Charles1990 nita mpatia Preta kwa usiku mmoja kwa kujaribu...THANK YOU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…