Hiki ni nini TRA mkoa wa Tabora?

Hiki ni nini TRA mkoa wa Tabora?

Kariobangi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2022
Posts
480
Reaction score
435
Ukipita pale jengo la ofisi za TRA mkoa wa Tabora,lililokuwa jengo la zamani la iliyokuwa benki ya Nyumba,THB utakutana na uzio wa mabati kuzunguka jengo kiashiria Cha ukarabati, kwa miaka zaidi ya kumi sasa.

Je, wahusika ndio kusema ukarabati haujahisha kwa muda wote huo kuondoa uzio wa mabati uliochoka na kuanza kuanguka katika ofisi nyeti hii ya kukusanya kodi na mapato ya serikali? Kiasi Cha kuchafua taswira ya mji ukizingatia jengo lipo katikati ya mji?

Hili nalo wahusika muende mkalitazame.

IMG_20220911_132939.jpg
 
Back
Top Bottom