...niliona last week kwenye star tv kuna huyo jamaa urio alikua anahojiwa na angelo mwoleka kuhusu fursa ya tz ktk soko la ea,alijitambulisha kama mwenyekiti wa mtandao wa vijana tanzania.ndio mimi nauliza huo mtandao ni chama cha kisiasa,asasi au ni nini?je majukumu yake ni yepi?yeyote mwenye info zaid atujuze/anijuze