Tatizo mtu kichaa hawezi kujificha juu ya kauli zake za kipumbavu pumbavu na matusi yasiyo ya muhimu, tena katika jukwaa hili pendwa. Naongeza tena https://jamii.app/JFUserGuide you GENTAMYCINE......... (Heshima yako hapa siioni kabisa na wanaokuheshimu humu sidhani kama wapo sawa" https://jamii.app/JFUserGuide you more.
Kwa uelewa wangu nlioupata kupitia mada mbali mbali humu ndani mi najua Tanzania hatuna hicho kitu maana ukiangalia Ma -Rais ambao walinzi wao hutembea na hizo briefcase wote ni Ma-Rais wa nchi zinavomiliki silaha za nyuklia kama sijakosea mfano Marekani, China, Urusi, South Korea , North Korea n.k. Hivyo ndani ya hizo briefcase huwa kuna remote control za hizo silaha za nyuklia ambapo Rais wa nchi husika ndio mwenye mamlaka ya kuruhusu hizo silaha either zitumike or not mfano inapotokea shambulio la ghafla labda North Korea kaishambulia Marekani wakati huo Trump yupo ziarani Tanzania ana uwezo wa kuruhusu hilo shambulizi lijibiwe kupitia remote control iliyopo kwenye ile briefcase ambayo ina contain password anazozijua yeye (RAIS WA NCHI TUU NA HUBADILIKA MARA KWA MARA). Na ndo maana hutembea nayo popote aendapo .
So kwa kuwa Tanzania hatuna silaha za nyuklia hicho ki briefcase hakiwezi kuwepo kwenye msafara wa Rais.