Inafahamika kwamba kwa sasa tigo Tanzania inamilikiwa na kampuni inayoitwa HONORA TANZANIA PLC, lakini kwenye website au hata kwenye huduma zao kama za bustisha n.k terms and conditions zinasoma bado MIC.
Hii imeekaaje kisheria incase wamezingua kwenye tigo pesa huduma ya nivushe ambayo terms and conditions kampuni inayosomeka ni MIC.
Kampuni itakayowajibika kushtaki au kushtakiwa ni Honora au MIC?