Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
UKague kiwanda sio?Hilda karibu nyumban mama😋
Jikazi tu huyo harudi tenaHii ndiyo faida ya kushangilia kifo cha Magufuli
Pole sana.....vunja tanga tu Sasa....Hii ndiyo faida ya kushangilia kifo cha Magufuli
Hivi huyu ameshamaliza kunyonyosha?Hilda karibu nyumban mama😋
Mbona hana majeraha na tuliambiwa kabondwa sana?Naona wanampitisha binti wa watu kwenye tanuru la moto. Siasa za upinzani nchi hii lazima ujikane nafsi.
Afande Muliro si alisema hawako nae? Sasa wamemtoa wapi. Ndio maana maaskari wakistaafu wanaishi maisha ya kuzimu hapa duniani. Kubabeki.Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).
Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja
Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.
View attachment 3315455View attachment 3315456
Hao panya tusisubiri wastaafu. Si famila zao wanaishi na sisi mtaani?Tuanze kuwatembezea borrow usikuAfande Muliro si alisema hawako nae? Sasa wamemtoa wapi. Ndio maana maaskari wakistaafu wanaishi maisha ya kuzimu hapa duniani. Kubabeki.
Hili ndio jeshi la polisi.. Walikataa hawako nae. Sasa wana mpa dhamana. Wapumbavu wakubwa.. Sasa ni kwa namna gani una weza waamini hawa wahuni??Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).
Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja
Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.
View attachment 3315455View attachment 3315456
kah!Kwanini Jana Muliro alisema hawamshikilii Hilda Newton? Muliro na mamaake Wamebakiza muda mfupi sana kumaamae zao