Hilda Newton: Hili liwe funzo kwa Mafwele na genge lake. Christopher Bagenyi kunyongwa hadi kufa

Hilda atambue jambo moja, hawa polisi wanaoagizwa na viongozi wa kisiasa wana kinga, ni tofauti na huyo Bageni na Zombie. Hao waliona jamaa wana hela wakajiongeza. Ingekuwa wametumwa na viongozi wa ngazi za juu za kimamlaka kesi ingeyeyuka.
 
Akifanya kama alivyofanya Begenyi. Kwa maelezo yako huyu Begenyi alifanya ujambazi wa kitumia silaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…