Hilda Newton: Ukienda kanisani kwenye ibada ya leo usisahau kumuombea-;

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Ukienda kanisani kwenye ibada ya leo usisahau kumuombea-;

1. Mhe Lissu
2. Mdude Nyagali
3. Juma Kaswahili
4. Chaula
5. Jacob Mlay
6. Frank Mbise 7. Amani Manengelo
8. Deusdedith Soka
9. Dinioz Kipanya
10. Daniel Chonchorio
11. Musa Mziba

Na wengine wote ambao wametekwa na kupotezwa na wote waliobambikwa kesi mbalimbali na Utawala huu wa ..., tuwaombee Mungu awafanyie wepesi.
 
12. Ally Kibao
 
Tunawaombea kilasiku....Mwenyezi Mungu ni mwema sikuzote
 
kama waja wa Mungu,
ni vizuri sote kuombeana kheri
 
Muwakumbuke na Mababu zenu pia waliotangulia mbele ya haki
 
Maombi yangekua yanasaidia hata kabla ya kuomba huyo Mungu anaedaiwa ana upendo asingesababisha hayo yatokee .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…