Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe wa wap, mbona mshamba mshamba sana? ukahaba wao una kuhusu nini? hachana na mambo ya kise** na ya kike. kama umeenda soma, soma achana nao. chakushangaa nini kama hayo yalikuwepo toka enz za sodoma na gomora??????????????????????????
thibitisha kwa ushahidi kuntundugu watanzania wasomi wenu vyuoni hawafai,ukahaba ndio kazi za mabinti,rushwa na ufisadi hautaisha kama hawatabadilika