Hili baridi la Mwanza

Hili baridi la Mwanza

jidula mabambasi

Senior Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
125
Reaction score
102
Jamani sijui ni ugeni wa huu mji wakuu, nimo ndani tu nimeshindwa hata kutoka niko kama kuku wa kizungu.
 
mwanza kuna baridi? this is amazing...
 
Tafuta demu, au zungusha mikono kama chadema
Umemshauri vizuri, kama anataka demu aende pale jengo la ccm mkoa wapo makada wengi ambao wana hali mbaya hasa baada ya shughuli za uchaguzi kwisha. Sii unajua wakati huo unavaa tuu kijani basi akija yule jamaa alifumaniwa Igunga au wengine unapewa tuu ukamburudishe.
 
Back
Top Bottom