Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Apr 22, 2025 #1 Nimeona hii clip mitandaoni nikawaza ingekuwa bongo kingetokea nini hasa kama ishu yenyewe ingetokea siku ya Derby ya Kariakoo. π Your browser is not able to display this video.
Nimeona hii clip mitandaoni nikawaza ingekuwa bongo kingetokea nini hasa kama ishu yenyewe ingetokea siku ya Derby ya Kariakoo. π Your browser is not able to display this video.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,625 Reaction score 89,385 Apr 22, 2025 #2 Hiyo ndio shida yakula magimbi...π€£
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,441 Reaction score 8,408 Apr 22, 2025 #3 Kariakoo Derby! Huyu angetolewa uwanjani kwa ulinzi mkali wa Polisi. Na huko kwenye Klabu yake sijui kama angebaki salama. Suala la kutupiwa vilago nje lingemhusu tu.
Kariakoo Derby! Huyu angetolewa uwanjani kwa ulinzi mkali wa Polisi. Na huko kwenye Klabu yake sijui kama angebaki salama. Suala la kutupiwa vilago nje lingemhusu tu.